KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Sunday, September 16, 2012

SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA

SEMINA YA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE NA DIANA MWAKASEGE.
Bonyeza play hapa chini usikie maombi ya Mwalimu Christopher Mwakasege

Mwalimu Christopher Mwakasege akilisha kondoo wa Mungu.
Mwalimu akifundisha somo la mzaliwa wa kwanza(lango).
 
Semina ya neno la Mungu toka kwa mwalimu Christopher Mwakasege.Huduma ya MANA inakutangazia kuwa kutakuwa na semina ya neno la Mungu toka kwa mwalimu Christopher Mwakasege na Diana Mwakasege katika viwanja vya jangwani kuanzia tarehe 23/09/2012 mpaka 30/09/2012.Karibu bila kukosa kila siku kuanzia saa 8:00 Mchana na kuendelea.Watu wote mnakaribishwa.
 
 
YAWEZEKANA UNAHITAJI KUONGOZWA SALA YA TOBA KAMA NI NDIYO
Bonyeza hapa play kisha fuatisha sala hii.

 
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 Pia kwa maelezo zaidi piga simu
0715 408566
 
 

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI