KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, September 14, 2012

SHUKURANI YA SIFA JOHN BAADA YA AJALI

KUISHI NI NEEMA TU!!MTU WA MUNGU
Bonyeza play hapa chini usikie shukurani
 

Jamani tukumbuke kuwa tunaishi kwa NEEMA tu ya Mungu pia Jifunze kwa waliotangulia wameondokaje,yawezekana walikuwa na kiburi kama wewe,walikua na pesa kama wewe na majumba ya kifahari na kuponda raha kwa kwenda mbele lakini leo hii hatukonao,Kuanzia hapa leo tamani kumpa Mungu maisha yako maana kulala  kuamka ni NEEMA tu!!!!
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI