KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, November 3, 2012

WADAU WA PAMOJA KWA UMOJA MIMI NIPO NILIKUWA BIZE KIDOGO.




Kwa muda sasa toka niwe kimya bila kuwajulisha ila kwa uweza wa bwana tunakutana tea moja moja kupitia hapa hapa katika blog yngu hii pamojakwaumoja2012.logspot.com.

Naona sms nyingi zikiniuliza niko wapi mimi nipo! tu ila nilikuwa busy kidogo na mambo fulani,So rafiki naomba ushirikiano wako kama ilivyokuwa mwanzo  kwa maana Tumekuwa tukimwona  Mungu kupita blog hii na shuhuda mbalimbali zimekuwa zikiwatia moyo wengi nakuwaondoa  katika mawazo ya kukata tamaa.Kupitia blog hii nitaongeza sauti za watumishi wa Mungu wengine wengi zaidi ili kukidhi haja wa wadau wote wanaotembelea blog hii

PAMOJA KWA UMOJA

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI