KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, September 3, 2012

HATIMAYE PASCHAL CASIAN AINGIA MTAANI TENA KAMA MWANZO


MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI PASCHAL CASIAN AINGIA TENA MTAANI NA MADHABAHUNI BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU.ANASEMA WASAMEHE BURE!!!!!
 
Hii ndiyo albamu ya kijana Pascha Casian ijulikanayo
"WASAMAHE BURE"

CD cover yake kwa upande wa nyuma kuna picha ya maadam Ritha ambaye ndiye aliyevumbua kipaji chake katika shindano la BSS(BONGO STAR SEACH)


Hizi ndizo nyimbo zinazopatikana katika Albamu yake hii.
Hii ndiyo kazi kamili ya albamu ya'WASAMEHE BURE"
Paschal Casian Juzi jumamosi alizindua albamu yake hii katika kiwanja cha sifa na mgeni rasmi alikuwa maadam Ritha toka Benchmark production na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na chama na serikali,Katika hali ambayo wengi hawakuitegemea ni umati mkubwa wa watu wengi sana kuliko kawaida so hii ilikuwa ni dalili kuwa kijana na mtumishi huyu wa Mungu anakubalika sana na pia nyimbo yake ya Chuki ya nini ndiyo inaonekana kupendwa zaidi na watu wengi.Waimbaji waliokuwa katika uzinduzi huo ni pamoja na Sifa John,Tom Bernad na wengineo wengi.

Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI