KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, July 22, 2013

BAADA YA MAANDALIZI MAZURI YA ALBAMU 'KUMBE NI KWA NEEMA TU'YAKE MWIMBAJI BEATREC MWAIPAJA SASA IKO SOKONI

'KUMBE NI KWA NEEMA TU' NI ALBAMU YAKE MWIMBAJI BEATREC MWAIPAJA AMBAYE PIA NI MDOGO WAKE MARTHA MWAIPAJA SASA IKO SOKONI KUPITIA KAMPUNI YA GMC(MAMU)
 Huyu ndiye BEATREC MWAIPAJA maarufu kama 'bite"
 Hapa Beatrec Mwaipaja ikiwa upande wa kulia na marafiki katika video ya Producer Geofrey Abbas(PG)
 
 Beatrec na mdada mwenzake wakienda sawa katika video
 Beatrec kulia akiwa na waimbaji wenzake kutoka kushoto kwake ni Papaa pamoja na Mrs mtarajiwa pamoja na Hope Samwel

Albamu ya Beatrec Mwaipaja imebeba nyimbo saba 7.Nyimbo zenyewe ni 
1.KUMBE NI KWA NEEMA TU! 2.MAISHA 3.SEMA NENO MUNGU 4.MUNGU NI KIMBILIO 5.WEWE NI BABA 6.SAFARI 7.NANGOJEA KWA MUNGU.

SASA IKO SOKONI KAZI KWAKO KUITAFUTA NA KUBARIKIWA NAYO.MAOMBI YETU KAMA PAMOJA KWA UMOJA WEWE UWEZE KUIPATA IKUBARIKI MAANA WEWE MUNGU AMEKUKUSUDIE UBARIKIWE NASI MWINGINE

HAKIKA MUNGU KWANZA
NDUGU YETU POPOTE PALE ULIPO SISI TUNAKUOMBEA
Barikiwa sana katika kristo Yesu
Kwa ushauri na maoni hamia hapa;0715 408566.

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI