KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, July 25, 2013

BEATREC MWAIPAJA ATEMBELEA OFISI ZA PAMOJA KWA UMOJA

BEATREC MWAIPAJA ATETA NA BLOG NA KUSEMA MWILI,MATATU KUHUSIANA NA HUDUMA YAKE IKIWA NI PAMOJA NA ALBAMU YAKE YA KUMBE NI KWA NEEMA TU!

 Hii ndiyo CD Master ya Albamu ya BEATREC MWAIPAJA
 Huu ndiyo mwonekano wa CD hii kwa mbele
 Beatrec akizungumza na blogger
 Mtumishi wa Mungu na mbeba maono Beatrec Mwaipaja
Mtumishi wa Mungu Beatrec Mwaipaja akijaribu kunihakikishia kuwa hatorudi nyuma maana maono aliyonayo ni kulihubiri Neno la mungu paka Dunia yote ielewe

Wewe kama mdau wa mziki huu wa injili ni wakati wako wa kumwombea sana binti huyu aliyejitoa kwaajili ya kazi ya bwana
SIKIA WIMBO HUU BEATREC AKISEMA KUMBE NI KWA NEEMA TU!


hAKiKA  MuNgU  kWaNza
Tunakupenda pia tunakuombea

1 comment:

  1. ana vision kubwa sana usoni......usikubali kukatishwa tamaa hadi tufike ng'ambo.

    ReplyDelete

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI