KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, August 3, 2013

KWA MARA YA KWANZA GLORIOUS CELEBRATION(Raising to Zion) WATAMBULISHA NYIMBO ZAO



LEO KUPITIA KESHA NA PRAISE POWER GLORIOUS CELEBRATION(RAISING TO ZION) KUTAMBULISHA NYIMBO ZAO TATU.
Hii ndiyo nembo ya kundi hili la Glorious Celebration
 Vijana wa Raising to Zion
 Glorious Celebration wakihudumu katika moja ya mtoko wa FOF
Kundi zima la glorius Celebration(Raising to Zion)katika picha ya pamoja wakiwa na nyuso za furaha
Leo kupitia kipindi cha kesha na Praise Power Redio kupia masafa ya 99.3fm utapata kuzisikia nyimbo tatu toka kwa kundi hili kuanzia majira ya  saa 8:00 kamili usiku na majira ya asubuhi kuanzia saa 12:00 asubuhi.Hivyo kwa wewe mdau wa kundi hili au mdau wa mziki wa injili jiandae kusikia na kubarikiwa kupitia huduma hii ya uimbaji.
NYIMBO NI PAMOJA NA 
1.Niguse kwa roho 
2.Niinue
3.Waka waka

Mungu uibariki Tanzania na watu wake

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI