KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, September 25, 2013

MUNGU BABA AKUBARIKI MAHALI POPOTE PALE ULIPO


HAIJALISHI UNAPITIA MAGUMU KIASI GANI,AMINI KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA
Pole sana kwa changamoto mwana wa Mungu mahali popote pale ulipo yawezekana umekata tamaa kabisa kwa kuwa jaribu lako limekuwa kubwa kila siku,yawezekana unasumbuliwa na magonjwa,madeni, mikosi,roho ya kukatalia,ndoa na mahusiano hayako vizuri usichoke kuomba maana Mungu aliyekuumba anakuwazia yaliyomema kila siku.Pole sana na kama unahitaji
 kuomba naomba kwanza abudu pamoja nami kisha tuombe





Mungu akubariki sana mahali pale ulipo amini Mungu ametenda pia kuomba kwako si bure

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI