KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, September 24, 2013

USIKU WA SHUKRANI KWETU ULIKUWA HIVI:


KATIKA KUMSHUKURU MUNGU KUTUPONYA KATIKA AJALI MBAYA YA GARI TUKITOKEA MOROGORO KIHUDUMA,JUZI USIKU TULIPATA NAFASI YA KUMSHUKURU MUNGU NA BAADHI YA MARAFIKI WALIOKUJA KUTUFARIJI WAKATI  WA KUJIUGUZA.
ERICK BRIGHTON,THOMAS BERNAD NA SILAS MBISE

 Tunawashukuru sana wale wote waliojitokeza kuja kumshukuru Mungu pamoja nasi  pia kupokea shukrani zetu kwa wote mliokuja kutufariji katika kipindi chote baada ya ajali kutokea,Ukweli hatuma la lusema kwa Mungu zaidi tukiendelea kumshukuru sana yeye baba yetu aliye juu maana haikuwa kwa uwezo wetu bali ni kwa uweza wa bwana,Ni kweli TUNAISHI KWA NEEMA NA REHEMA YA KRISTO.Hivi asingekuwa Mungu tungepona???? JIbu HAKUNA.
Baada ya kupona katika ajali ile tumeamua sasa kumtumikia Mungu kwa kila kitu yaani akili na nguvu zetu zote tofauti na hapo mwanzo,ndiyo maana tunayo kauli mbiu yetu tunaiita MUNGU KWANZA.

Siku ya Ijumaa 20/09/2013 ikawa ni siku ya tofauti maana watu walijiachia mbele za bwana kwa kusifu na kuabudu huku wakisema asante Mungu.
 THE JORDAN BAND
Walifungua ukurasa kwa kusifu na kuabudu kisha kundi zima la
 THE JESSICA MUSIC
Liliingia kuabudisha kwa nyimbo mbili mfululizo na kisha kuachia usukani kwa Mc
BONIFACE MAGUPA
Kisha 
YUSUPH MKAPA
Kuigiza sauti za baadhi ya viongozi wa serikali kwa kusisitiza amani ya Tanzania iko mikononi mwetu watanzania wenyewe.
Kisha
THE GLORIOUS CELEBRATION
Kusifu pamoja na wote waliojitokeza huku watuwakicheza kwa kujiachia kiukweli ukweli maana hakuna aliye kama Mungu wa Izrael
Baada ya GC kushuka ukafika wakati wa
SHUHUDA WA KWANZA
 baada ya ajali kutokea kueleza jinsi alivyoiona ajali na hali za majeruhi
wakati huo Projector ikionyesha tukio zima lilivyokuwa pale Mlandizi na baadae hospitalini na baada ya hospitali mpaka sasa hali za kila mmoja.

Kisha ukafika wakati wa kila mmoja aliyekuwa kwenye ajali kueleza JINSI ajali alivyoiona na alivyo sasa.
Kisha 
SHUKRANI KWA WALIOPATA AJALI KWA MUNGU NA WOTE WALIOSAIDIA KWA NAMANA MOJA AMA NYINGINE PIA KATIKA MAOMBI ILI SISI KUWEZA KULEJEA KATIKA HALI ZETU ZA KAWAIDA.
Kisha maombi na kufunga.

PENDEKEZO LIKAWA KWA WADAU KUPENDEKEZA KILA BAADA YA WIKI MBILI TUNAKUTANA TUKISIFU NA KUABUDU PAMOJA YAANI JUST MTOKO (OUTING YA KIPENDWA KILA BAADA YA WIKI 2)
ILIKUWA HIVI 
 Toka juu mpaka ni The Jordan Band
Boniface Magupa kulia,Emmanuel Sweta,Yusuph Mkapa na Erick Brighton wakisifu kwa pamoja
 Peter Ogola,Silas Mbise,Thomas Mbura na blogger Mdee JUNIOR wakiserebuka huku upako ukishuka
 Mrs Boniface Magupa(Jessica) akicheza pamoja na wadau waliojitokeza
Kundi zima la Glorious Worship Team na wadau wengine wakicheza pamoja kwa kusifu maana mziki ulikuwa live tupu
Mungu tubariki ktk kiu yetu ya kukutumikia wewe



No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI