KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, July 17, 2012

IJUE NDOTO YANGU ERICK BRIGHTON KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU::

MARA NYINGI NDOTO HII NIMEKUWA NIKIWAAMBIA HASA WATU WALIO KARIBU NA MIMI NA WENGI WAO HUWA WANANICHEKA ILA MIMI NINA AMINI IPO SIKU,NITAWAKUSANYA WATU KWENYE UKUMBI WA KISASA KAMA HUU AU ZAIDI,ITATIMIA
TU HAIJARISHI NI LINI ILA ITATIMIA IN JESUS NAME
Ndoto yangu ni wewe siku moja ukae jukwaani siku moja ukimsifu Mungu badala ya kusimama juani kwa muda mrefu ikijifunza neno la Mungu au ukiwa kwenye tamasha la kumsifu Mungu
Tazama ni kwa kiasi gani tunamis sehemu nzuri za kufanyia matamasha na sehemu zitakazo kidhi mahitaji ya wapendwa,badala yake watu tumekuwa tunapelekwa kumbi za starehe ambako kuna kila aina ya anasa.
Tazama ambavyo lights(taa) zinanavyovutia na jukwaa likiwa limekamilika,niambie ukibahatika kuwepo hapo 
utakaa wapi?
 Haya sasa tazama ni kiasi gani mambo yanavyoweza kuwa wakati unaimba nyimbo za kuabudu au kusifu niambie ungetamani ukae wapi?

Hii ndiyo ndoto yangu ambayo inanisumbua kila siku iendayo kwa Mungu ila nina amini kama sio mwaka huu basi mwaka ujao nitaiweka sawa ndoto hii,nimeshajua sehemu ambayo ukumbi huu nitakapouweka ila bado baadhi ya mambo fulani hayaja kaa vizuri.Mungu ninakuamini sana na ninakutumainia sana nina amini kwa hili hauta kaa kimya maana nahitaji watu wapate sehemu ya kukutanika pamoja wakikutukuza wewe katika maeneo yenye matumaini.Asante Mungu kwa kuniheshimu kila siku na bado nina amini bado utanipa nguvu na uweza wa kuyakamilisha maono haya.Ombi langu kwako naomba uniombee juu ya hili najua lina vita ya kiroho.
HILI SIO KANISA BALI NI UKUMBI WA MATAMASHA
Rafiki yangu bado ninakuombea,Mungu akubariki
Pamoja kwa umoja


No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI