KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, July 18, 2012

NAOMBA UNISAIDIE USHAURI WAKO JUU YA MWONEKANO WA TSHIRT HIZI ZA PAMOJA KWA UMOJA.

HII NDIYO IDEA YANGU SAMAHANI NIPE MAWAZO
Mpendwa nisaidie ili nipate kutengeneza kitu kizuri kwaajili yako
Rangi hii unaionaje,inakuwaje inafaa ama la!
Hapa vipi imekaa poa ama la!


Hapa vp Tshirt Inauza ama la!
K-pro Tshirt nayo ndani ya leber iko sokoni kama kawa ila nipe mawazo kama haziko Okey
Wowowowowoow!!!!Zikoje hizi Tshirt 
Ziko zaidi ya hizi ambazo unaziona hapa,hizi niza kwanza tu.
HII NDIYO IDEA YANGU SAMAHANI NIPE MAWAZO.MUDA C MREFU ZITAKUWA MADUKANI  NA SEHEMU NYINGINE KAMA HIZO.SO KABLA SIJAZITOA NYINGI ZAIDI  NIMEONA NIKUSHIRIKISHE KWANZA WEWE UNIPE USHAURI JUU YA HUDUMA HII YA TSHIRT HIZI.SABABU YA KUTENGENEZA NI KUONDOKANA NA MATAIZO YA KUVAA NGUO TUSIZO JUA MAANA YAKE
Rafiki yangu bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa Umoja.





No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI