KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, July 17, 2012

KAZI IPO!! YANGU MACHO. KANISA LIKO WAPI??



Hakika kumbe kila siku ni siku ya kujifunza na kumjua Mungu,Mungu yupi ni wakweli na Mungu yupi ni Mungu sio.Ok ngoja niishie hapa ili jicho langu liendelee kujifunza zaidi katika elimu ya macho.Ila kabla sijaondoka nimekuwa najiuliza kwanini Mungu aliniumba kwa mfano wake ni kwa mfano wa kitu kingine ila yeye.Ok ngoja niishie hapa,Ila ngoja nijiulize tena kwanini ulitupa biblia kama kitabu kitakacho tuongoja katika mambo yetu mbalimbali ikiwa na kujua mema na hata mabaya.
 OK

Rafiki yangu bado nakuombea,Mungu akubariki
Pamoja kwa umoja

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI