KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, July 16, 2012

SASA WAWEZA KUPATA HUDUMA ZA MAPAMBO,CHAKULA,VYOMBO VYA MUZIKI KWA AJILI YA TAMASHA AMA SHEREHE YOYOTE KWA BEI NAFUU KUPITIA PAMOJA KWA UMOJA.

Pamoja kwa umoja yaja ili kuondoa adha ya uhitaji wa Mapambo,Chakula na Vyombo vya Muziki.

Keki 1@

Tazama ni jinsi gani harusi yako itakavyopendeza


Tazama rangi zinavyovutia za haya mapambo i wish utumie kwenye harusi yako


Jamani imependeza hii bado natamani iwe ni rangi zako kwenye harusi yako.



Tazama jinsi unavyoweza pendezesha harusi yako kwa 
Red carpet na rangi nzuri ya Zambarau.
Unaona ukumbi unavyovutia
Unaona jinsi wakwe zako watakapo kaa!!
Tazama jinsi gani kila mmoja atakavyopendeza kwa rangi hii.
Umeonaaa!!!
Hakika bila shaka kwa wewe unayependa vitu vizuri umepata jibu nini cha kufanya katika harusi yako.Usiwaze sana utafanya nini ili kupata vitu vizuri kama hivi katika harusi yako piga namba;; 
 0715 408566. KUMBUKA HUDUMA HII UTAIPATA CHINI YA 
ERICK BRIGHTON TOKA PRAISE POWER REDIO.
Rafiki bado nakuombea,Mungu akubariki.
pAmOjA KwA UmOjA




3 comments:

  1. INAPENDEZA SANA SANA; Thankx brother kwa vitu vizuri!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante sana kaka pa1 sana ,nikumbukeni kwenye vikao vyenu.

      Delete
  2. Vipi kama nataka kujifunza kupamba?

    ReplyDelete

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI