KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, July 25, 2012

KITUO CHA PRAISE POWER REDIO KINAPENDA KUKUKARIBISHA;


KITUO CHA PRAISE POWER REDIO KINAPENDA KUKUKARISHA WEWE MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NA YULE ULIYE NA MAPENZI MEMA NA WATU WOTE SIKU YA KESHO SAA TANO ASUBUHI PRAISE POWER REDIO,HII NI KUTOKANA NA MWIMBAJI MMOJA WA KUNDI LA THE VOICE OBED JOHN MARK UPATWA AJALI MBAYA YA AJALI 
Obed John Mark kama  anavyoonekana wa kwanza kushoto akiwaongoza wenzake katika Recordin' live katika ukumbi wa Makumbusho ya taifa tarehe 30/6/2012

Mungu wabariki vijana hawa uliwaita katika kukutumikia wewe siku zote za maisha yao
Obed John Mark kama anavyoonekana tena hapa yuko upande wa kushoto mwenye nywele ndefu akiwaongoza wadogo zake katika Tamasha lililofanyika Juzi jumapili tarehe 22/72012 katika ukumbi wa D. Jubilee
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bahati Bukuku katika picha
 Mtangazaji Milard Ayo pamoja na mwimbaji wa Injili

Rose Mhando na Madaam Ritha wakiteta jambo
Ndugu rafiki ni wakati wa kuonyesha una upendo kwa mwimbaji huyu Obed John Mark kwa kuja kushirikiana katika kumchangia chochote kile roho wa Mungu atakacho kuongoza kuja kumchangia,Kesho majira ya saa Tano asubuhi mahali ni Praise power Redio unakaribishwa wewe mwenye mapenzi mema,wewe mwimbaji pamoja na wewe unayependa kushiriki baraka za bwana,lia na wanao lia.OBED JOHN alipatwa na ajali mnamo majira ya usiku Sinza akielekea Magomeni gafla akiwa ndani ya bajaj gari likuja kwa nyuma yao likawagonga na kudondokea mtaroni na kuumia vibaya sana ikiwa ni pamoja na uti wa mgongo na maeneo ya usoni na mwili mzima kuwa na maumivu makali,baada ya ajali hiyo dereva wa gari hilo alitoweka kusikojulikana na Obed kubaki hapo bila msaada wowote,Baada ya taarifa kuwafikia wenzake The Voice walimkimbiza mpaka Hospitali kwa matibabu zaidi.Hali yake inaendela vizuri,ila anahitaji msaada wako kama rafiki wa kuweza kulipia matibabu na gharama ndogo ndogo amabzo zinamkabiri
BY:
ERICK BRIGHTON
Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa Umoja



No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI