KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, July 25, 2012

SIMBA !! SIMBA!!! HAYA NDIYO MANENO YALIYOKUWA YANASIKIKA KWA MASHABIKI

TUJIKUMBUSHE ILIVYOKUWA KATIKA MECHI YA SIMBA SC  NA  AZAM FC AMBAYO ILIMALIZIKA KWA MATOKEO YA AZAM FC3 - SIMBA SC 1.

Shabiki wa Simba akiwa haamini kilicho tokea hapa uwanjani na pengine akihisi kama vile anaota kumbe sivyo
Hawa ndiyo walio chezesha mchezo huu wa Simba na Azam wakiwa na ulinzi wakutosha.
Dah!! Hata siamini kama kweli haya ndiyo matokeo kweli yaliyotokea hapa ama tunaota.Hawa ni wachezaji wa Simba wakiwa wameinamisha vichwa chini wote isipokuwa Juma Kaseja Tanzania One.
Wachezaji wa Simba waliokuwa bechi 

Wachezaji wa Azam Fc wakiwa na furaha ya ushindi wa bao 3-1 baada ya mchezo kumalizika

Wachezaji wa timu ya Azam Fc walikuwa bechi baada ya mchezo wakiwa wenye sura za furaha
Mashabika wa msimbazi Simba wakishangilia baada ya kufunga goli moja la kufutia machozi.

Familia ikitoka na majonzi bila kuamini kilichotokea uwanjani

Hali ikuwa mbaya kwa mchezaji wa Azam Fc kuumia mguu baada ya kugongana na mchezaji wa Simba sc na hapa akisaidiwa kutoka nje baada ya mchezo
Vivyo hivyo ilikuwa kwa upande wa Simba Sc kwa mchezaji kugongana na mchezaji wa Azam Fc na kama anavyoonekana nae akisaidiwa kutoka nje

Kazi ya madakitari wa timu ya Azam wakimsaidia mchezaji kutoka nje baada ya mchezo kumalizika

 Kazi ilihamia kwangu na Bro Double G(Godwin Gondwe)wa ITV kama unavyoona tulikuwa na kazi ya kuipunguza pressure ya marafiki zetu Boniface Magupa wa Channel Ten na John Kisaka wa Praise Power Radio
Kama inavyoonekana katika picha basi la Azam Fc likitoka uwanjani kwa furaha na bwembwe huku magari ya polisi yakiweka ulinzi

Na hapa ndiyo uwanja wa taifa ambako ndiko pambano hili limefanyika.
Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI