KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, July 23, 2012

MABINGWA WATETEZI LEO KUINGIA UWANJANI KULITETEA KOMBE LAO.

YANGA AFRIKA KUINNGIA UWANJANI LEO HAPO BAADAE KIDOGO MNAMO MAJIRA SAA 9;30 MCHANA/JIONI KUKIPIGA MAFUNZO YA ZANZIBAR
DAR ES SALAAM YANGA AFRICA KUKIPIGA KATIKA KIWANJA HIKI (NATION STADIUM)
Kikosi kamili cha wakali wa Jagwani Dar es salam Yanga Africa
Yanga Africa wakishangilia ushindi baada ya kumchapa APR bao 2-0

Yanga leo asubuhi baada yakumaliza mazoezi mapesi kwa ajili ya mechi hapo baadae katika kiwanja cha taifa 9:30 mchana/Jioni
Rafiki yangu bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI