KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, July 23, 2012

WIZI NOUMA!!!!!! WIZI NOMA!!! NDIVYO ILIVYOKUWA INASIKIKA ENEO LA TUKIO

 SAFARI YA MSAFIRI!!!! TAZAMA NI JINSI GANI SHETANI ANAVYOANGAMIZA VIJANA

Wakati mwingine unaweza usiamini kama ni kweli lakini ndiyo ukweli halisi juu ya hili.Majambazi mawili yamekamatwa na kujikuta yakiambulia kichapo toka kwa wanachi wenye hasira kali na waliochoshwa na ujambazi,majambazi mawili yamekimbi kusikojulikana na kutoweka na pesa kiasi kisichojulikana


Mwenyezi Mungu tusaidie tujue kusudi la sisi kuwepo hapa Duniani hata kama tunapitia mapito ya aina gani.


Dah! Kichapo si mchezo ndiyo maneno yaliyokuwa yanasikika katika eneo la tukio.Dah! kifo!!!

TAMAA + UTAJIRI + GUDTIME =KIFO
TANZANIA TANZANIA!! VIJANA VIJANA!!!
TUFANYENI KAZI.
Leo majira ya asubuhi maeneo ya Ubungo river Side   Chonya Bar majambazi manne yalivamia na majambazi mawili kufanikiwa kutoweka kusiko julikana na wawili kuangukia nguvuni na kujikuta hivyo walivyo kama picha inavyonyesha hapo juu.Jeshi la polisi kituo cha Urafiki ndiyo limefanikiwa kukamatwa kwa hawa majambazi, kama unavyoona katika picha.Haya yote yanasababishwa na tamaa kupenda maisha bora bila kufuata kanuni za maisha bora ,Jamani watanzania wenzangu Shetani yuko kazini so usipokuwa makini yatakukuta kama haya.Mungu akubariki wewe utakaye jifunza kupitia fulsa hii.
Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja.








No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI