KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, July 12, 2012

Uncle Jimmy: IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION

Uncle Jimmy: IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION: K-Pro ni Studio yenye obora wenye kiwango cha juu,yenye uwezo wakufanya kazi zako zozote utakazo.Producer wa K-Pro ni swahiba Paschal Kinu..

IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION

K-Pro ni Studio yenye obora wenye kiwango cha juu,yenye uwezo wakufanya kazi zako zozote utakazo.Producer wa K-Pro ni swahiba Paschal Kinuka ambae ni mtaalamu wa mziki na mwalimu wa Vocal.
Paschal ni Producer wa nyimbo za injili na za kawaida,nimzoefu wa muziki pia ni mwalimu wa vyombo,Gita na Kinanda.K-Pro studio inashugulika na kurecord muziki live,Kufundisha mziki,pia kutoa ushauri kwa muimbaji.
Paschal akiwa na Masoud Kipanya K-Pro
Ukiacha huduma zote zinazo patikana K-Pro sasa wanakodisha vyombo vya muziki vinavyo weza kukidhi mahitaji yako katika Sherehe mbalimbali kama Harusi,Komunio,Kipaimara n.k
Producer wa Studio hii {Paschal} kwa muda wa miaka 5 alikuwa nchini Korea ambapo alikuwa akijifunza kazi ya mziki kwa ustadi mkubwa akiwa na Mwalinu wake Seoul ambae anamshukuru Mungu kwa tahaluma aliyo mpatia.Studio ya K-Pro inapatikana Sinza Mapambano karibu na Hotel ya Double View.
Upendo Nkone akiingiza Sauti K-Pro
Studio hii iko mbioni kutengeneza Album za waimbaji tofauti kusaidia waimbaji wadogo[Yaani waimbaji chipukizi/Wageni katika huduma hii ya uimbaji] wenye kipaji kusikika na kutambulika duniani.Mpango huu unasimamiwa na Paschal pamoja na Mtangazaji wa Ppr Erick Brighton.

Vocal Training/chumba cha sauti
Paschal akiwa na rafiki yake nchini Korea.
K-pro akiwa Korea na Watoto.
Production room/Chumba cha utayarishaji
Kwa mawasiliano zaidi na ushauri piga simu namba 0716-445133 au 0752-806036


No comments:




Post a Comment

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI