KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, August 18, 2012

BENDI MPYA YA INJILI YAANZISHWA JIJINI DAR

VIJANA WA MASAUTI WENYE JAA NA YESU NA VITA NA SHETANI WAJIUNGA ILI KUKAMILISHA KIU YAO NA VITA KWA SHETANI

Huyu ndiye ERIC CHILAMBO

Huyu ndiye HOPE SAMWEL

Huyu ndiye Geofrey PG.

Huyu ndiye Dany Mayaula na Paschal Kinuka wakiwa katika picha nchini Korea

Huyu ndiye PHILIPO RUPIA.
Hawa ni moja kati ya wana bendi mpya ya injili itakayokuwa ikimtumikia Mungu kwa njia uimbaji.Bila shaka si majina mageni katika masikio yako katika huduma hii ya uimbaji.Hope Samweli ni mmoja kati ya vijana wachache wenye vipawa vile vile Philipo Rupia naye vivyo hivyo ni mmoja kati ya vijana wenye uwezo wa kutumia sauti ipasavyo.Eric Chilambo ni kijana ambaye naye sina wa kumfaninisha naye katika eneo jingine la kutumia sauti na vyombo.Geofrey PG naye sina wakumfananisha katika eneo la matumizi ya vyombo na sauti,Dany Mayaaula na Paschsl Kinuka nao wote kwa pamoja ni wakali wa sauti na vyombo kwa wakati mmoja.Natarajia kitu kikubwa sana katika tasnia hii ya uimbaji,Kwa mazungumzo ambayo nimefanyanao hawa vijana wa masauti ni kwamba wamejipanga kuhakikisha shetani anakuwa katika wakati mgumu pasipo kujali amewateka kiasi gani vijana,pia wanataka kuwaleta vijana pamoja na kujitambua juu ya maisha yao kuachana mambo machafu yasiyo mpendeza Mungu,so kutakuwa na matamasha ya mara kwa mara.Kwa habari nyingine nyingi zidi kuitembelea blog hii itakupa kila kitu unachokitaka.Wanakuomba uendelee kuwaombea sana katika safari hii ya huduma yao maana shetani hapendi kuona hivi na mengine.



Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA




2 comments:

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI