KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, August 18, 2012

NATAMANI SIKU HII YA LEO USIKILIZE NYIMBO HIZI

CHAGUO LANGU KWAKO NI NYIMBO HIZI HAPA SIKILIZA NAAMINI ZITAKUBARIKI SANA SIKU HII YA JUMAPILI 19/8/2012.
Nyimbo ya Geofrey PG Narudi nyumbani iwe baraka kwako siku ya leo ukiwa unamrudia bwana YESU kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako.

Nyimbo ya Philipo Rupia "Your so good to me"iwe baraka kwako kwa matendo makuu ambayo amekuwa akikutendea katika maisha ya kila siku.



Nakutakia Jumapili njema sana bila kujali unapitia katika hali gani amini yupo amaungu anayekuwazia yaliyo mema kila siku kila wakati

Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI