KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, August 3, 2012

NYUMBA YA MPENDWA INAPANGISHWA.

NYUMBA NYUMBA!!!  INAPANGISHWA KWA BEI NAFUU SANA NYUMBA YENYE HADHI(KIWANGO)KUBWA MAENEO YA SINZA KWA REMMY.0715408566

Hapa ni ndani koridoni

Hapa ni koridoni kwa mbele ukiwa stin' room

Hapa ni jikoni na majiko ya gesi kama yanavyoonekana katika picha.

Hapa stin'room na hii ndiyo roof ya Gpsum.mable.
Hiki ni chumba cha nje ambacho waweza kifanya ofisi au mambo ya salon kwa ajili ya familia,ambacho kiko kama kighorofa fulani.

Hii ni sura ya mbele ya nyumba yenye eneo kubwa kwaajili ya packing ya magari matatu

Hii ni sura ya ubavu wa kulia mwa nyumba ambako unaona kuna heater ya kuchemshia maji yakuoga ama kufutia ambazo ziko kila chumba pamoja na AC.

Hii ni sura ya mbele karibu na gate kama picha inavyoonyesha

Hili ni eneo la nyuma ya nyumba kama panavyoonekana

Huu ni ubavu wa nyumba upande wa kushoto kama panavyoonekana.

 Huu ni mwonekano wa nyumba kwa sura ya nje kama picha 
Nyumba hii inakodishwa  na mpendwa mwenzako ambaye alimwombaMungu ampe nyumba ya biashara ya kupangisha,Na Mungu akampa.Nafasi iko wazi kwa wewe unayehitaji kujitangaza kupitia blog hii ya kikristo Tanzania,Nafurahi sana napokuona wewe ukiifanya blog hii kuwa ni madhabahu ya Mungu baba.Katika maombi tumekuwa tukimwomba Mungu na yeye amekuwa akitupa,mwenzetu huyu Mungu amemjibu pia endelea kuwaombea wote walio fanikiwa kupitia Maombi ya kila siku bado hata wewe inawezekana ukimtumaini Mungu baba.Kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba hii piga simu no 0715 408566

Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA.

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI