WAIMBAJI WAKITANZANIA MNAJIFUNZA NINI KWENYE SHOW ZA KIMATAIFA BAADA YA KUMWONA REBEKA MALOPE KATIKA TAMASHA LA PASAKA.
Rebeka Malope katika pozi.
Jukwaa la Tamasha.
Rose Mhando pamoja na Annastazia Mkabwa wakilishambulia Jukwaa!!
Rose Mhando akisalimiana na Mashabiki na wapenzi wa mziki wa kiinjili waliojitokeza katika tamasha hilo
Waimbaji wa Injili Upendo Nkone,Upendo Kilahiro na Christina Shusho katika picha.Baada ya tamasha kubwa la Pasaka kumalizika ni matumaini yangu kuwa kwa mwimbaji yeyote aliyekuwa mahali hapo alijifunza kitu kizuri na kitu kibaya.Ni matumaini yangu kuwa daada ya muda si mrefu tutaanza kuona faida ya waimbaji wa kigeni.Mgeni siku hiyo hakuwa Rebeke Peke yako waikuwepo waimbaji wengi sana kiasi ambacho wengine kuambulia patupu.OK nini MMEJIFUNZA TOKA KWA WAIMBAJI TOKA NJE AMBACHO KITABADILISHA MWONEKANO WA MATAMASHA HASA YA UIMBAJI.!!!!!!!1Tuliona jinsi gani wenzetu wanathamini sana kazi zao hata kama kuna watu wana kataa kuwa huduma sio kazi,leo natamani watu wajue huduma yoyote ni kazi ambayo inahitaji kuipenda na kuithamini kazi,so tunajifunza nini baada ya kumwona Rebeka Malope akiwa na mtu anayesimamia muziki yaani(sound operetor)na watu kuhakikisha nyimbo inasikika kwa ubora unaojulikana pia kama atakwenda kutumia play back lazima awe na Dj wake wakumwongoza sio kam aambavyo tunafanya sisi mwimbaji anapanda stage anaanza kuomba nyimbo na 3,7 au nyimbo namba 1.huo ni mfumo wa kizamani sana ambako watu wameshasahau kabisa so swali langu bado ni nini tumejifunza kwa Rebeka Malope juu ya show zetu sisi waimbaji wa Tanzania????
Rafiki yangu bado ninakuombea Mungu AKUBARIKI
pAMOJA KWA uMOJA
No comments:
Post a Comment