KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, October 20, 2012

JIPATIE VYOMBO VYA MUZIKI TOKA USA(MAREKANI KWA BEI NAFUU

HII NI KWA WALE WANAOPENDA NA KUHITAJI VYOMBO IMARA NA OLIJINO NASI FEKI TENA VYENYE OFA.
Hii ni fulsa sasa kwa wana Muziki(Bendi,Kwaya hata makanisani)kuondokana na kutumia vyombo feki(vyombo vyenye kuharibika mara kwa mara)







 

 
 
 

Vyombo hivi vyote ni kutoka katika nchi ya Marekani na vyote vi vyenye viwango bora sana,waweza pata Magitaa,Spika,Mic,Mixxer,Kinanda,Ngoma na vyote vinavyohitajika katika Muziki.
 
Pia waweza pata vyombo kwaajili ya studio,Redio na Studio ya kurekodia muziki,waweza pata vifaa vyovyote vinavyohusika na mambo ya Video na chochote unachohitaji wewe kwa bei nafuu.Ili kupata chombo chochote unachohitaji na kuepuka vitu vyenye kuharibika mara kwa mara  basi wasiliana na namba hizi hapa chini.
0715 408566
 0716 445133
au
Email:erick.brighton45@gmail.com
Muda si mrefu Ofisi yetu itakuwa maeneo ya Sinza
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

24 comments:

  1. nataka set ya spika kubwa kwa ajili ya Muziki mkubwa fiked kubwa,fideki basi kubwa na fiedik twitter wasiliana nami kwa richcvkelvin@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Ninataka gita na ngoma nitumie bei na picha

    ReplyDelete
  3. Safi.....0656104800/0763708155
    Tuwasiliane
    Email: zjasson89@gmail.com

    ReplyDelete
  4. Naitaji bez za Oprah zilizo kwenye box Lake original,, ni bei gan

    ReplyDelete
  5. Naomba kujua Bei ya vinanda vya studio na spika za studio Bei na picha pls

    ReplyDelete
  6. Nataka kujua Bei ya spika kubwa na mikix ya kat

    ReplyDelete
  7. Naitaji maiki ya studio nitumie bei

    ReplyDelete
  8. Naitaj kujua bei ya maiki ya studio na kinanda

    ReplyDelete
  9. Nahtaji vinanda vya pedal

    Naomba price list kwa kila aina mlivyinavyo

    ReplyDelete
  10. Nahitaji kujua Bei ya maiki za studio

    ReplyDelete
  11. Boss nahitaji mic B2 sound card ya M-audio chanel2
    Mixer chanel4 pia middi keyboard ya studio naomba unitumie bei kwa 0620796022 whatsapp
    Napatikana mwanza

    ReplyDelete
  12. Nahitaji set ya tarumbeta naweza pata?

    ReplyDelete
  13. Na hitaji audio intercace 1 or 2 channel na condeser mic 1 nitumie bei na picha niko siriasi 0764117864

    ReplyDelete
  14. Tunahitaji kinanda cha pedal Techniques

    ReplyDelete
  15. Nahitaji kujua Bei ya vitu hivi kwaajili ya kanisani,Bei ya stend za maiki,maiki wireless na za ways,booster,mixer kubwa,spika monita,
    Tuwasiliane kwa Whatsap 0719188981.

    ReplyDelete
  16. Aujaweka namba Kaka ya kuwasilian an awewe ndo shida hapo Ila nimcheki 0745664697

    ReplyDelete
  17. Nahitaji Kinanda Cha bei nafuu kiwe Yamaha PSR kuanzia 463

    ReplyDelete
  18. Nahitaji kujua bei ya vinanda mlivyo navyo please na jinsi ya kuwapata.

    ReplyDelete
  19. Naomba bei ya mid keyboard, berhinger microphones, tarumbeta

    ReplyDelete

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI