KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, September 28, 2013

AMA KWELI MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA,KWELI YALIYOTABILIWA SASA YANATIMIA MOJA BAADA YA JINGINE


widget
Miujiza baadae
SIKU ZA MWISHO ZINAZIDI KUTIMIA HEBU BOFYA HAPA UJIONEE (AIBU)TUKIO HILI  MADHABAHUNI



Haya sasa usipojifunza kwa hili basi subiri la kwako halisi maana utakuwa umeathirika na miujiza makanisa badala ya kumtafuta Mungu
Jambo la kujiuliza ni nini kusudi/lengo la mchungaji huyu.

Kumbuka si kila madhabahu ya kwenda. 

Ndugu yangu mkristo kumbuka misingi na kanuni ya ukisto itakusaidia pia epuka sana kwenda kanisani kimazoea maana yawezekana na wewe umejikuta unatumika bila kujua na hili ni moja katika maelfu,Hii ndiyo style inayotumika kwa wachungaji waliojiita badala ya Mungu kuwaita kuwa watumishi wake ili watumike kuwaleta kondoo kwake.

KUMBUKA HATA KULIONA HILI LINAHITAJI SANA MACHO YA ROHONI.
Ombi langu kwako jichunguze je mahali ulipo ni salama ama la!!!!??
 EPUKA KUUJERUHI MOYO WAKO KWA KUKOSA MUUJIZA


Mungu akupe kujitambua nyakati hizi ni za mwisho




widgets

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI