MUZIKI NI KIPAJI ILA PIA NI TAALUMA.
KARIBU
KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni
KAULI MBIU/SLGN
HOPES
Tuesday, June 10, 2014
Tuesday, April 29, 2014
MUNGU KWANZA RED CARPET KUFANYIKA KESHO NDANI YA URAFIKI HALL

HATIMAYE RED CARPET IMEKARIBIA NI MASAA TU YAMEBAKI !!!
Kundi la Mungu Kwanza kesho linatarajia kujitambulisha rasmi kwa wadau wa mziki wa injili Tanzania katika ukumbi wa Urafiki Social Hall uliopo Legho-Sinza
Tamasha hili linatarajiwa kuanza mida ya 5:00asubuhi na kuendelea
Waimbaji wengi kuhudhuria tamasha hili ikiwa m ni pamoja na waimbaji chipukizi kutoka lebal{kampuni} ya pamoja kwa umoja waimbaji hao ni:
Emmanuel Peter
Joshua Steven
Joshua Silomba
Leah Amos
Daniel Mwaipungu
na wengine wengi.
Jitahidi usikose
JOSHUA SILOMBA
DANIEL MWAIPUNGU
LEAH AMOS
EMMANUEL PETER(SMART BOY)
PAMOJA KWA UMOJA DAIMA!!

Friday, November 8, 2013
HEKA HEKA ZA SHUKURANI KATIKA ENEO LA MAHUSIANO
KUTOKA PRAISE POWER REDIO CHINI YA MCHUNGAJI KIONGOZI MHE GETRUDE RWAKATARE WANAKUKARIBISHA KATIKA IBAADA YA SHUKURANI JUMAPILI HII KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO.
Kiongozi wa Praise Power Radio mtumishi wa Mungu
BALBO MAHUNJA
JOYCE CHARLES akizungumza kupitia masafa ya 99.3 fm.
Watangazaji kwa pamoja wakifanya mahojiano
Mahusiano katika Ndoa,Familia,Biashara,Elimu na kazina mengine kama hayo.
KARIBU BILA KUKOSA
MUNGU KWANZA
Saturday, September 28, 2013
JE UNAMKUMBUKA HUYU AU UNAIKUMBUKA HII??

SIKIA HUU UNABII::HIVI KITU HII IPO KWELI AU NDIYO MAMBO YA MJINI NAMNA YA KUISHI????
Ama kweli mjini kuna mambo sikia jinsi namna ambavyo nabii huyu anavyoendesha shughuli zake
part 2
Haya tena mwenye masikio amesikia na mwenye macho ameona kazi kwako pia tafakari juu ya hili.

Mungu tusaidie macho ya rohoni kuyabaini yasiyo mapenzi yako
AMA KWELI MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA,KWELI YALIYOTABILIWA SASA YANATIMIA MOJA BAADA YA JINGINE

Miujiza baadae
SIKU ZA MWISHO ZINAZIDI KUTIMIA HEBU BOFYA HAPA UJIONEE (AIBU)TUKIO HILI MADHABAHUNI
SIKU ZA MWISHO ZINAZIDI KUTIMIA HEBU BOFYA HAPA UJIONEE (AIBU)TUKIO HILI MADHABAHUNI
Haya sasa usipojifunza kwa hili basi subiri la kwako halisi maana utakuwa umeathirika na miujiza makanisa badala ya kumtafuta Mungu
Jambo la kujiuliza ni nini kusudi/lengo la mchungaji huyu.
Kumbuka si kila madhabahu ya kwenda.
Ndugu yangu mkristo kumbuka misingi na kanuni ya ukisto itakusaidia pia epuka sana kwenda kanisani kimazoea maana yawezekana na wewe umejikuta unatumika bila kujua na hili ni moja katika maelfu,Hii ndiyo style inayotumika kwa wachungaji waliojiita badala ya Mungu kuwaita kuwa watumishi wake ili watumike kuwaleta kondoo kwake.
KUMBUKA HATA KULIONA HILI LINAHITAJI SANA MACHO YA ROHONI.
Ombi langu kwako jichunguze je mahali ulipo ni salama ama la!!!!??
EPUKA KUUJERUHI MOYO WAKO KWA KUKOSA MUUJIZA

Mungu akupe kujitambua nyakati hizi ni za mwisho

Friday, September 27, 2013
JOHN LISU BAADA YA KUFANYIWA MAHOJIANO LEO ASUBUHI NA WATANGAZAJI WA PPAISE POWER REDIO

JOHN LISU BAADA YA MAHOJIANO KATIKA KIPINDI CHA RISE &a SHINE LEO ASUBUHI
JOHN LISU
John Lisu akiwa na mtangazaji Hadson Kamoga
John Lisu katikati,kulia ni mtangazaji Frida Ituwe kushoto ni Hadson Kamoga
Hadson akijaribu kupiga gitaa wimbo wa Jehova yuhai wa John Lisu
John Lisu na Hadson Kamoga katika picha ya kwaheri baada ya mahojiano juu ya Tamasha kubwa la recordin live itakayofanyika katika ukumbi wa CCC Upanda jirani kabisa na chuo cha Mzumbe.
Mahojiano haya yamefanyika kupitia redio ya kikristo Praise Power inayopatikana katika masafa ya 99.3fm jijini Dar es salaam.
TAMASHA HILI SI LA KUKOSA KABISA MAANA MUNGU ATAONEKANA LIVE BILA CHENGA

Mungu wabariki watu wote katika jina la Yesu
Thursday, September 26, 2013
HILI NDILO KUNDI KAMILI LINALOKUPA HABARI TOKA PRAISE POWER REDIO
WATALAAM WA HABARI TOKA PRAISE POWER REDIO 99.3FM Dsm
MKUU WA KITENGO CHA HABARI EMMANUEL NGALAPA
KIKAZI ZAIDI
OREST SABUGO NA AGNES MHAGAMA
CHARLES MSAMATI NA LUCY MBANGWA
PAUL MAGOHE
AGNES MHAGAMA
LUCY MBANGWA
Kwa habari na matukio usikose kusikiliza praise poer redio kila siku za wiki kupita mawimbi ya 99.3fm
ON AIR
HEWANI KUPITIA MAWIMBI YA 99.3 FM

Subscribe to:
Posts (Atom)